Rais Uhuru Kenyatta Kwa Mara Nyingine Ameanzisha Udhia Na Idara Ya Mahakama Kwa Kuhoji Kuwa Hatotii Amri Za Mahakama. Akizumnumza Mjini Kisumu Rais Kenyatta Amesema Kuwa Uamuzi Wa Kuhamisha Kiwanda Cha Nyama Nchini Kmc Hautobadilika Kamwe Kwani Wanajeshi Wamefanya Maendeleo Makubwa Katika Taasisi Ambazo Rais Amewapa Usimamizi. Mahakama Ilibatilisha Hatua Hiyo Ya Rais Ikisema Kuwa Umma Haukuhusishwa.