Mwili Wa Bashir Wapatikana Katika Chumba Cha Kuhifadhi Maiti Cha Kerugoya.

2021-05-23 4

Mwili Wa Mfanyibiashara Wa Asili Ya Marekani Na Somalia Mohamud Bashir Mohammed Aliyetekwa Nyara Mwezi Huu Tarehe 13, Umepatikana. Afisa Wa Upelelezi Bernard Korir Alisema Kwamba Mwili Wake Ulipatikana Mto Wa Nyamindi. Anavyoelezea Mwanahabari Wetu Lucy Riley Mwenda Zake Alionekana Mara Ya Mwisho Katika Hoteli Ya Miale Maeneo Ya Lavington Kabla Ya Gari Lake Aina Ya Range Rover Kupatikana Msitu Wa Ngong.