Wa Turkana Waitaka Serikali Kuwafidia Hasara Iliowapata Baada Ya Mifugo Kuaangamizwa Na Mafuriko
2021-05-18 0
Wakaazi Kutoka Kata Ndogo Ya Turkana Central Wanakadiria Hasara Kubwa Ya Kupoteza Mifugo Yao Kutokana Na Mafuriko Yalioshuhudiwa Katika Eneo Hilo. Maeneo Yalioathirika Yakiwa Pamoja Na Chokchok, Kakwenyag, Monti, Nakadukiwi Na Ngomo.