Jopo La Kuwateua Makamishna Wa IEBC Lasema Sheria Za Uteuzi Zitazingatiwa

2021-05-18 4

Jopo La Uteuzi Wa Makamishna Wa Tume Huru Na Uchaguzi Na Mipaka Nchini Iebc Limesema Mipango Kabambe Imewekwa Ya Kukamilisha Zoezi Hilo Kwa Wakati.Jopo Hilo Lililoteuliwa Na Rais Uhuru Kenyatta Kuunda Nyumba Ya IEBC Limo Mbioni Kuwatafuta Makamishna Wanne Kujaza Pengo La Makamishna Waliojiuzulu Katika IEBC.

Free Traffic Exchange