Rais Kenyatta Ahudhuria Majadiliano Kati Ya Wanafunzi

2021-05-13 6

Rais Uhuru Kenyatta Na Waziri Mkuu Wa Uingereza Boris Johnson Wameshuhudia Majadiliano Kupitia Kwa Mtandao Kati Yza Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi Ya
Westlands Na Wenzao Kutoka Shule Ya Msingi Ya Cleves Cross Nchini Uingereza.