Yoweri Museveni Aapishwa Kwa Muhula Wa Sita

2021-05-12 6

Baada Ya Uchaguzi Wa Januari Uliyosheheni Ghasia, Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Amekula Kiapo Cha Kuanza Rasmi Muhula Wa Sita Wa Miaka Tano.