Kibarua Cha Harambee Starlets, AWCON
2021-05-11
9
Harambee Starlets Wamewekwa Kundi A Katika Mashindano Ya Kufuzu Kombe La Soka Barani Afrika,Kundi Ambalo Litamenyana Na Sudan Kusini Huku Uganda Nao Wakipambana Na Uhabeshi, Eritrea Wapige Na Burundi Nao Djibout Wakabane Koo Na Rwanda.