Mafunzo Ya Makocha Nchini Yanaendelea Katika Uga Wa Ligi Ndogo Kaunti Ya Nairobi

2021-05-11 9

Mkurugenzi Mkuu Wa Shirikisho La Soka Humu Nchini Fkf Barry Otieno Amewaomba Makocha Kuwekeza Katika Mafunzo Ya Ukocha Ambayo Yataweka Katika Viwango Vya Kimataifa.