Mkaguzi: Kaunti Ya Garissa Haikuwa Na Mpangilio Wa Kutumia Millioni 113

2021-04-30 0

Gavana Wa Wajir Mohammed Abdi Mohammud Anakumbana Na Changamoto Si Haba. Kwa Upande Moja Wawakilishi Wadi Walimng'atua Mamlakani Kama Gavana Wa Kaunti Ya Wajir Na Kwa Upande Mwingine Mkaguzi Wa Bajeti Amethibitisha Kuwa Serikali Ya Kaunti Ya Wajir Haikuwa Na Mpangilio Mwafaka Ya Kutumia Milioni 113 Ilizopewa Kukabiliana Na Janga La Virusi Korona.