Jina Ya Jaji Martha Koome Limewasilishwa Katika Bunge La Kitaifa

2021-04-28 0

Rais Uhuru Kenyatta Amemuidhinisha Jaji Martha Koome Kama Jaji Mkuu Wa Mahakama Na Kuwasilisha Jina Lake Mbele Ya Bunge La Kitaifa. Spika Wa Bunge La Kitaifa Justin Muturi Ameelekeza Kamati Ya Sheria Kumpiga Msasa Martha Koome Na Kuwasilisha Ripoti Yake Mbele Ya Wajumbe Chini Ya Siku 28.