Waziri Amina Mohammed Awahakikishia Wakenya Mashindano Ya Kufana

2021-04-28 1

Waziri Wa Michezo Amewahakikishia Wakenya Kuwa Mashindano Ya Mbio Za Magari Ya Wrc Safari Rally Yatanoga Kwa Matao Ya Juu. Hii Ni Kutokana Na Maandalizi Ambayo Yamewekwa Mpangoni Kuona Kuwa Mashindano Haya Yanafana Yakirejea Nchini Baada Ya Miaka 20. Haya Yanajiri Siku Chache Baada Ya Madereva Kumenyana Katika Mashindano Ya Arc Equator Rally Ambayo Yaliandaliwa Wikendi Jana Eneo La Naivasha.