TSC Yasutwa Na Kamati Ya Elimu Kuhusu Nafasi Za Makamishna

2021-04-28 0

Bunge La Kitaifa Limemuidhinisha Jamleck Muturi Kama Mwenyekiti Wa Tume Ya Kuwaajiri Waalimu Nchini Na Timon Oyucho Kama Mwanachama Wa Tume Hiyo.Haya Yanajiri Huku Tume Hiyo Ikisutwa Na Kamati Ya Elimu Bungeni Kuhusu Jinsi Inavyoendesha Shuhuli Zake Ikiwa Na Upungufu Wa Makamishna 7. Na Kama Anavyoarifu Mwanahabari Milliah Kisienya Tsc Imetupia Lawama Tume Ya Uajiri Wa Wafanyikazi Wa Umma Kwa Kufeli Kumshinikiza Rais Kuongeza Makamishna Katika Tume Hiyo Husika.