JSC Yapewa Idhini Na Mahakama Kumteua Jaji Mkuu

2021-04-27 0

Mahakama Ya Rufaa Imetupilia Mbali Uamuzi Uliotolewa Na Mahakama Kuu Unaozuia Jsc Kumteua Wa Jaji Mkuu. Akitoa Uamuzi Huo Kwa Niaba Ya Majaji Wenzake, Jaji Patrick Kiage Amesema Ni Kwa Masilahi Ya Umma Kwamba Ataruhusu Kuendelea Kwa Mchakato Wa Kumteua Jaji Mkuu.