Maseneta: Magavana Hawakuweka Mpangilio Wa Kutumia Fedha Za Covid-19

2021-04-27 4

Huenda Malumbano Baina Ya Magavana Na Maseneta Yakashuhudiwa Kutokana Na Fedha Za Covid-19. Magavana Wameibua Hisia Kuhusiana Na Ripoti Ya Mkaguzi Wa Bajeti Kuhusiana Na Matumizi Ya Covid-19 Majimboni.