Kamati Ya Pamoja Ya Sheria Imewasilisha Ripoti Yake Kwa Spika

2021-04-26 1

Kamati Ya Pamoja Ya Sheria Na Haki Al Maaruf Kama Jlac Imewasilisha Ripoti Yake Kwa Spika Wa Seneta Keneth Lusaka. Hii Ni Baada Ya Kamati Hiyo Kutamatisha Ripoti Hiyo Wiki Iliyopita. Lusaka Amesema Kuwa Watajadiliana Na Spika Mwenzake Wa Bunge La Kitaifa Justin Muturi Kuandaa Kikao Maalum Ya Kujadili Hatma Ya Ripoti Ya Bbi. Haya Yanajiri Wakati Kamati Hiyo Ilipinga Kuwa Kuna Miswada Tofauti Iliyojadiliwa Katika Bunge Ya Kaunti Na Kuwasilishwa Kwa Bunge La Kitaifa Na Lile La Seneti.