Kipchoge Apokea Chanjo Ya Covid-19 Baada Ya Kurejea Nchini Kutoka Uholanzi
2021-04-26
3
Mshikilizi Wa Rekodi Ya Marathon Duniani Eliud Kipchoge Amepokea Chanjo Yake Hii Leo Katika Chuo Kikuu Cha Kenyatta.Kipchoge Alipokea Chanjo Na Mwanariadha Mwenza Mazoezini Jonathan Korir.