Mamia Ya Wakaazi Wanaoishi Karibu Na Bwawa La Kiambere , Kaunti Ndogo Ya Mumoni Wameachwa Bila Makao Baada Ya Nyumba Zao Kubomolewa. Miongoni Mwa Walioathirika Na Ubomozi Huo Ni Wakaazi Wa Katithini, Na Burrow. Na Kama Anavyotueleza Mwanahabari Wetu Aziza Hashim, Ubomozi Huo Ulifanywa Baada Ya Ilani Ya Mwaka Mmoja Na Nusu Iliyopeanwa Kwa Wakaazi Kuondoka Katika Maeneo Hayo Kutamatika.....