Corona Yachangia Ongezeko La Visa Vya Unyanyasaji Wa Kijinsia

2021-04-25 4

Athari Za Janga La Corona Zinazidi Kuwaathiri Wakenya Na Sio Tu Kifedha Na Kiuchumi, Bali Pia Zinazidi Kuchangia Ongezeko La Visa Vya Unyanyasaji Wa Kijinsia. Na Katika Jitihada Za Kukabiliana Na Visa Hivi Serikali Imeanzisha Mpango Wa Kuwapa Shauri Nasaha Wahanga Walioathirika Na Unyanyasaji Wa Kijinsia Katika Kaunti Ya Kilifi Na Nairobi.