Mwanahalima Adam Kuongoza Kikosi Cha Harambee Starlets

2021-04-11 2

Mshambulizi Wa Thika Queens Mwanahalima Adams Ataongoza Kikosi Cha Timu Taifa Ya Soka Kwa Kinadada Harambee Stars Wakati Wanamenyana Na Kinadada Wa Zambia Copper Queens Aprili 24.Kocha David Ouma Alitaja Kikosi Cha Wachezaji 30 Ambacho Kitawekwa Wima Na Nahodha Dorcas Shikobe.