Kalonzo, Musalia Na Wetangula Wakishtumu Chama Cha ODM

2021-03-25 5

Muungano Mpya Kwa Jina 'One Kenya Alliance' Unaojumuisha Gideon Moi Wa Chama Cha Kanu, Kalonzo Musyoka Wa Chama Wiper, Musalia Mudavadi Wa Chama Cha Anc Na Moses Wetangula Wa Chama Cha Ford Kenya Umezinduliwa Hii Leo. Viongozi Hawa Kwa Pamoja Wameapa Kufanya Kazi Pamoja Ili Kubadili Mtindo Wa Sasa Wa Siasa Wanaoutaja Kama Mbaya. Wakati Uo Huo Wameonyesha Kugadhabishwa Kwao Na Hatua Ya Odm Ya Kumbandua Seneta Wa Kakamega Cleophas Malala Kama Naibu Kiongozi Wa Wengi Katika Bunge La Seneti.