Kamati Ya Kupambana Na Janga La Corona Katika Kaunti Ya Mombasa Imezindua Hatua Mpya Za Kupambana Na Janga Hilo Hasa Wakati Ambapo Nchi Nzima Inakumbana Na Ongezeko Kubwa La Watu Wanaougua Corona. Akizungumza Na Wanahabari, Gavana Wa Kaunti Ya Mombasa, Ali Hassan Joho, Amewarai Wakaazi Wa Mombasa Kutolegeza Kamba Katika Kufuata Kanuni Zilizowekwa Kupambana Na Virusi Vya Corona. Aziza Hashim Na Maelezo Zaidi…