Vijana Katika Mji Wa Malindi Wapata Riziki Kwa Kushafisha Mazingira

2021-03-14 10

Baadhi Ya Vijana Katika Mji Wa Malindi Wameona Mavuno Ya Kazi Ya Mikono Yao Baada Ya Kusafisha Mazingira Ili Kerejesha Hali Ya Usafi Katika Mji Huo Wa Utalii.Wengi Wa Vijana Hao Ambao Hawana Ajira Wameanza Kutengeneza Bidhaa Kutokana Na Taka Wanazozoa Ili Kujitafutia Riziki Na Pia Kusafisha Mazingira.