Mali Ya Thamani Isiyojulikana Yateketea Baada Ya Moto Kuzuka Malindi

2021-03-14 7

Mali Ya Thamani Isiyojulikana Ilipotea Kutokana Na Moto Uliozuka Na Kuteketeza Taasisi Nne Za Kitalii Katika Kaunti Ya Malindi Siku Ya Jumamosi. Moto Huo, Ambao Kufikia Sasa Sababu Yake Haijajulikana, Iliteketeza Hoteli Kadhaa Na Majumba Katika Eneo La Coral Key. Mwanahabari Wetu Aziza Hashim Na Maelezo Zaidi…