Familia Ya Raia 2 Waliouliwa Katika Hali Tatanishi Yataka Haki

2020-07-27 53

Kufuatia mauaji ya raia wawili katika soko la Ng'ombe kaunti ya Garissa, familia ya wendazao sasa inataka haki. Wawili hao wanadaiwa kuuawa na maafisa wa polisi ambao kwa sasa wametiwa nguvuni huku uchunguzi ukiendelea.