Mradi Wazinduliwa Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Ukeketaji

2020-07-09 26

Kufuatia Ripoti Za Ongezeko La Visa Vya Ukeketaji Wa Wasichana Hasa Msimu Huu Ambapo Shule Zimefungwa, Shirika La Umoja Wa Mataifa La Unfpa Kwa Ushirikiano Na Wizara Ya Jinsia Na Bodi Ya Kupambana Na Ukeketaji Imeanzisha Mradi Wa Uhamasisho Dhidi Ya Tamaduni Hiyo Mbovu. Wakiongozwa Na Katibu Msaidizi Wa Wizara Hiyo Rachel Shebesh, Kundi Hilo Limezuru Kaunti Ya Embu Kuwahamasisha Wakaazi Kuhusu Umuhimu Wa Mtoto Wa Kike Katika Jamii.