Ndoo Ya maji inayotumika kunawia kwa ajili ya kujikinga na korona. Ambapo unapoga namba yake ya simu ndipo unafungua koki kwa kutumia hiyo namba ya simu.