Promo: Tazama Michezo Mashinani Kuanzia Juni, 2019
2019-05-30 1
Michezo mashinani ni kipindi kinachokuletea taarifa sheshe za spoti kwa ufasaha, majadiliano na uchanganuzi wa spoti kutoka kaunti zote arobaini na saba na kote duniani. Jumatatu hadi Jumamosi saa tano asubuhi gumzo ni spoti na Clifford Ndubi.