Promo: Dunia ya Pili (Kuaniza Juni, 2019)
2019-05-30
1
Dunia imegawanyika kuwili. Ipo dunia ya visa, mikasa na vibwanga na aidha ipo dunia ya raha, mahaba na ufanisi. Ungana na Wambugu Yusuf katika makala ya Dunia ya Pili akusimulie jinsi watu hutoka dunia moja hadi nyingine.