WASANII NA WADAU MBALIMBALI WA SANAA NCHINI WALIPOKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI LEO

2018-10-24 1

Leo Tarehe 23 October , Wasanii Pamoja na Wadau Mbalimbali Kutoka Tasnia Tofauti Hapa Nchini Wakiwa Wamejumuika na Baadhi ya Viongozi wa Serikali Walipokutana Kwa Ajili ya Semina Itakayowapa Nafasi ya Kuweza Kuwa Mabalozi wa Sekta Mbalimbali Hapa Nchini

#TunasongaKinamnaHii #HiiNiYetuSote #Sanaaimezaliwaupya #ChomboKwahewa
Load more comments