Kauli ya kwanza ya Gwajima baada ya Mo kuachiwa huru

2018-10-23 8

Hii ndio kauli ya kwanza ya mtumishi wa Mungu askofu Gwajima tangu Mohammed Dewji "MO" amepatikana, ikumbukwe kuwa jumapili iliyopita katika kanisa lake la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo Maji, mtumishi huyu wa Mungu aliongoza maombi maalum ya kumuombea ndugu yetu huyo.