Kauli ya kwanza ya Mo Dewji baada ya kupatikana akiwa salama ''Nawashukuru Watanzania wenzangu wote"

2018-10-20 12

“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji
USISAHAU KU SUBSCRIBE KU_LIKE, COMMENT NA KU_SHARE KWA WENGINE
#amepatikana #Mo_Dewji_kapatikana