USIPO TOA CHOZI BASI UNA MOYO WA CHUMA VIDEO HII YA MO DEWJI INATIA UCHUNGU SANA
2018-10-16 2
HII NI VIDEO AMBAYO INADHIHIRISHA WAZI YA KUWA MOHAMMED DEWJI NI MTU WA WATU , NI KIJANA ANAYE PENDWA NA KILA MTU, NI KIJANA MWENYE MOYO WA KUSAIDIA WATU PASIPO KUJALI HALI YA MAISHA, KABILA,WALA DINI,