Aslay Anaangamia Mbele Ya Macho Yetu, Na Sisi Tunamuangalia Tu.!

2018-10-13 7

#Aslay
#YoutubeIsBae
Nimeamua kuandika Barua Hii kwake Aslay Kama Mtanzania na Mpenzi wa mziki kiujumla Kwenu nyie mashabiki wa Aslay Hii Sio Attack kwake ama kwa shabiki zake hii ni opinion kuhusu mziki Wa Tanzania, vingine vyote anavijua yeye mwenyew, natumaini Barua Hii Ataiona Basi Kila lakheri katika safari yake ya mziki.