Tumepokea Taarifa Hii Nzito ,Rais Magufuli katoa Maneno haya baada ya kukutana na Bosi wa Benki

2018-10-11 13

Rais Dk John Magufuli leo amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini, Bella Bird na kuzungumza nae kuhusu maendeleo ya miradi inayofadhiliwa na benki hiyo.