Tazama bao la 'ajabu' kutoka kwa Ibrahim Ajibu; Yanga SC 2-0 Mbao FC (TPL - 07/10/2018)

2018-10-08 24

#TanzaniaPremierLeague Ibrahim Ajibu 'Kadabra' ajibu 'tikitaka' ya Zlatan Ibrahimovic 'Kadabra' akiifungia Yanga bao la pili. Kwa mujibu wa Baraka Mpenja , hili ndilo bao bora la msimu huu hadi sasa. Je, wewe unasemaje?

Ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo Oktoba 7, 2018.

FT: Yanga SC 2-0 Mbao FC.

Free Traffic Exchange