Mhandisi wa kivuko cha MV Nyerere apatikana akiwa hai

2018-09-23 0

Mhandisi wa kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, Alphonce Charahani, ameokolewa akiwa hai siku mbili baada ya kivuko hicho kuzama.