HAMISA MOBETTO: DIAMOND Hajielewi/ SAUTI ni yangu/ Tumeachana.

2018-09-22 4

Hamisa Mobetto siku ya jana alikua kutambulisha wimbowake kwa mara ya kwanza kwenye redio wa "madam hero" aliongelea pia kuhusu maisha yake na mahusiano yake na Diamond Platnumz nakuhusu pia sauti zilizokuwa zikizunguka mitandaoni zikidai alikwenda kumroga diamond ili ampende na kumjengea nyumba na ili pia aolewe na diamond. #HamisaMobetto #thePlaylist