Waliokufa MV Nyerere sasa wapindukia 100

2018-09-22 2

Idadi ya watu waliokufa kutokana na kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere katika Ziwa Viktoria nchini Tanzania sasa imefikia 100, huku wafanyakazi wa huduma za uokozi wakiendelea kuwasaka wengine zaidi. Papo kwa Papo 21.09.2018.

Free Traffic Exchange