Ni ukweli usiopingika kuwa kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere jana mchana kumekumbusha machungu ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba mwaka 1996 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 800.