Mrembo wa Rwanda afunguka kuhusu Diamond / Wema Sepetu

2018-09-18 10

Mwanamitindo na Video Vixen kutoka Rwanda, Shaddy Boo amezungumzia mahusiano yake na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Pltnumz baada ya watu wengi kudai wawili hao wanauhusiano wa kimapenzi.

Free Traffic Exchange