Huzuni yatanda baada ya Mwalimu kufariki Dunia akiwa Darasani akisimamia mtihani
2018-09-09
10
MWALIMU wa Shule ya Msingi Kisumba, Kalambo mkoani Rukwa, Lusekelo Mwakyesa (47), amefariki dunia akiwa darasani wakati akisimamia mtihani wa darasa la saba