ALICHOKISEMA MSUKUMA BAADA YA MALI ZAKE KUTANGAZWA KUPIGWA MNADA
2018-09-08 1
Siku moja baada ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kutoa taarifa ya kupiga mnada mali za mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma baada ya kushindwa kulipa deni analodaiwa, mbunge huyo amekanusha taarifa hiyo na kudai kuwa hadaiwi..