ALICHOKISEMA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSIANA NA SAUTI ZINAZODAIWA NI ZA HAMISA MOBETTO AKIONGEA NA MGANGA

2018-09-05 6

Ni Mengi Yamezungumzwa Sana Kwenye Mitandao ya Kijamii, Na Kupitia #REFRESH ya @wasafitv ilijaribu Kumtafuta Mrembo #HAMISAMOBETTO Lakini Haikufanikiwa Kumpata, Msanii #DIAMONDPLATNUMZ Amezungumza #EXCLUSIVE Yote Kuhusu Ishu Hii.