SIRI IMEVUJA JUU YA MAKONTENA YA MAKONDA; NI AIBU!
2018-09-03
3
Watu walalamikia figisu juu ya makontena ya uuzaji wa Makontena yanayopaswa kupigwa mnada ya RC wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa kile wanachodai kuna ujanja ujanja unatumika kukwamisha biashara hiyo