NDALICHAKO ATOA TAMKO, KIFO CHA MWANAFUNZI ANAYEDAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA MWALIMU

2018-08-30 1

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako amezungumzia tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Kibeta, mkoani Kagera Sperius Eradius akitaka vyombo vya usalama kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mwalimu anayetuhumiwa.
Akizungumza Agosti 29 wakati wa Kongamano la Kimataifa la Hisabati linalofanyika Chuo Kikuu cha Aghacan, Profesa Ndalichako amedai kusikitishwa na tukio hilo na kwamba Serikali haita mfumbia macho yeyote atakayebainika kuhatarisha usalama wa wanafunzi shuleni, wakiwamo walimu wao.

Free Traffic Exchange