Bao la kwanza la Yanga: Yanga SC vs Mtibwa Sugar (TPL 23/08/2018)

2018-08-24 37

Mshambuliaji Heritier Makambo ameifungulia Yanga akaunti ya mabao msimu huu baada ya kufunga bao la kwanza kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaopigwa kwenye dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam.

Free Traffic Exchange