Maalim Seif aswali Eid na kutoa kauli hii

2018-08-22 3

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameungana na Waislamu kuswali Eid-al-Adh'ha na kisha akapata fursa ya kutoa nasaha zake.