MKE WA MZEE MAJUTO AFUNGUKA: "NIMEFUKUZWA TANGA"

2018-08-20 4

Ikiwa ni siku 11 toka Mwigizaji Mzee Majuto afariki, leo August 19, 2018 Mke wake ambae walizaa watoto wanne pamoja akiwa ameambatana na Mdogo wa mwisho wa Mzee Majuto, wameibuka kwenye vyombo vya habari na kudai kuwa Watoto wa marehemu pamoja na Ndugu wa Mzee Majuto 'wamemfukuza' Tanga.