Alicho kisema HAJI MANARA baada ya simba kutwaa ubingwa wa ngao ya jamii 18-8-2018
2018-08-19 3
Msemaji wa simba bingwa Haji Manara ameyasema hayo baada ya timu ya simba kutaa taji la ngao ya jamii katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kati jya SIMBA SC na MTIBWA SUGAR.