Hili ndilo tukio zima la mazishi ya Mzee Majuto
2018-08-11
2
Maelfu ya wombolezaji wamejitokeza katika maziko ya aliyekuwa Msanii maarufu katika Ukanda wa Afrika Mashariki Amri Athumani aliyetambulika kwa jina la Usanii la King Majuto yaliyofanyika Mkoani Tanga.